Our Programs

1. Mafunzo Kwa Walimu
Tunatengeneza jumuiya ya watu  wenye nia ya kujitolea ambayo hushirikisha nia yao ya dijitali kwa kuwasaidia watoto na walimu wa kitanzania. Tunatoa mafunzo kwa walimu wa shule za msingi na sekondari. Lengo la programu hii ni kuwawezesha walimu kupata ujasiri katika kufundisha na kusimamia wanafunzi wakati wa zoezi la kujifunza darasani. Mafunzo ya walimu ni pamoja na ubunifu,matumizi ya Kompyuta ikiwemo matumizi sahihi, bora na salama ya vifaa na mifumo ya kompyuta na mtandao. 

2. Mafunzo kwa Wanafunzi
Tunaamini watoto wote wanapaswa kuwa na fursa ya kujifunza kompyuta, bila kujali walivyo au wapi wanatoka. Ili kufanya hivyo, tunatumia mtandao wa walimu wanaojitolea ambao huendesha mafunzo kwa watoto wenye umri wa miaka 9-18 ili kujenga mawazo yao. Tunakutana katika ratiba ya shule inayoruhusu kipindi cha kujifunza masomo ya ziada ya shule au baada ya masomo ya shule. Mafunzo yetu kwa watoto yanhusisha ubunifu wa kutengeneza mifumo rahisi kwa kufuata hatua kwa hatua ili husaidia watoto kujifunza kuanzia mwanzo kutengeneza mifumo kama vile tovuti kwa kutumia lugha za HTML na CSS.

________________________________________________________________________________________________________________

1. Tearchers Training
We are building a community of dedicated volunteers who involve their digital passion by helping Tanzanian children and teachers. We offer train for primary and secondary school teachers. The aim of this program is to enable teachers to gain confidence in teaching and managing students during the classroom teaching and learning process. Teachers training includes creativity, computer use which includes proper, efficient and safe use of ICT Systems.

2. Students Training
We believe all children should have the opportunity to learn the computer, no matter where they are or where they come from. In order to do so, we use a network of dedicated teachers who conduct training for children aged 9-18 to develop their ideas. We meet during school timetable that allow us to code or after school session. Our training involves creativity step-by-step to help
 
Privacy Policy | Need Support? Contact : Creating Website and Blog | Stanley Isaac Manyonyi | Twitter
Copyright © 2017. Tanzania Code Club - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger