Support Us

Tunategemea msaada wa kifedha kutoka kwa Umma, Wafanyabiashara na Wafadhili ili kuhakikisha kuwa tunaweza kuendelea kutoa na kuboresha mafunzo na kusaidia watumishi wanaojitolea ili kuwafikia watoto wengi zaidi.Kwa mwaka mzima, tunalipia huduma ya Intaneti inyotusaidia kupakua zana mbalimbali za kujifunzia.Tunalipia usafiri wa kutembelea shule mbalimbali.Tunatumia muda kubuni na kusimamia miradi inayotengenezwa na wanafunzi.Pia tunawafundisha watoto bila kuwatoza fedha yoyote.

Jisikie huru kuwasiliana nasi na kusaidia chochote kama vile Kompyuta za Mezani, Laptop na Vifaa Vingine. Mchango wako ni ukombozi wa mwanafunzi wa kitanzania katika tasnia ya Teknolojia Habari na Mawasiliano
 _______________________________________________________________________________________________________________

We look forward on financial support from the public, entrepreneurs and donors to ensure that we can continue to provide and improve training and assist club volunteers to reach more children.Throughout the year, we pay for the Internet service that help us to download different learning resources. We pay for travel to various schools. We spend time designing and managing projects made by students. We also teach children for free. 

Feel free to contact us for helping anything like Desktop PC, Laptop and Other Devices. Your contribution is the liberation of a Tanzanian student in the Technology and Information Technology industry.



 
Privacy Policy | Need Support? Contact : Creating Website and Blog | Stanley Isaac Manyonyi | Twitter
Copyright © 2017. Tanzania Code Club - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger